RAY J ATOA OFA BABUKUBWA KUNUNUA MJENGO KARIBU NA NYUMBA YA KIM KARDASHIAN

RAY J ATOA OFA BABUKUBWA KUNUNUA MJENGO KARIBU NA NYUMBA YA KIM KARDASHIAN

Like
564
0
Monday, 12 January 2015
Entertanment

Ray J atoa ametoa ofa ya kununua mjengo katika mtaa anaoishi Kim kardashian na mumewe Kanye west.

Ray j ambae aliwahi kuwa na mahusiano na Kim na kucheza nae filam ya Ngono hali inayopelekea mara kadhaa Ray j kutishia kuichia video hiyo inayotabiliwa kuja kuuza zaidi nahii ni kutokana na ukweli kwamba kwa sasa Kim ni mke wa Kanye west

ray j

Mwezi mmoja nyuma Kim Kardashian alichapisha picha zake za utupu kwenye moja ya majalida makubwa yanayoandika habari za mastar, wataalamu wa mambo wanasema Kim aliamua kufanya hivyo ili kumkomoa Ray j

Sasa Ray j ametangaza ofay a dola milioni 2.7 za kimarekani kununua mjengo katika eneo hilo la karibu na mjengo wa Kim na Kanye, haijafahamika zaidi nini? Lengo la Ray j ila tuendelee kusubiri

Comments are closed.