ROBERTO MARTINEZ KUONGEZA NGUVU EVERTON

ROBERTO MARTINEZ KUONGEZA NGUVU EVERTON

Like
240
0
Monday, 24 August 2015
Slider

Meneja wa klabu ya Everton, Roberto Martinez ameelezea mpango wake wa kufanya usajili mpya kwa wachezaji watatu kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili.

Miongoni mwa wachezaji anaowatazama meneja huyo ni mlinzi wa klabu ya River Plate, Ramiro Funes Mori, 24

Lakini pia Everton wamekuwa na mazungumzo na klabu ya Dynamo Kiev juu ya kumchukua mshambuliaji Shakhtar Donetsk’s Bernard.

Lakini pia Everton imeonyesha kuvutiwa na mshambuliaji wa Uruguay Leandro Rodriguez

Comments are closed.