ROCKSTAR4000 YATANGAZA COLLABO YA ALI KIBA NA NEYO

ROCKSTAR4000 YATANGAZA COLLABO YA ALI KIBA NA NEYO

Like
410
0
Friday, 14 August 2015
Slider

 

Kampuni kubwa ya muziki duniani Rockstar 4000 inayosimamia kazi za Ali Kiba imetangaza Collabo ya msanii huyu na mkali wa miondoko ya R&B duniani kutoka Marekani Neyo kupitia akaunti ya Instagram ya kampuni hiyo.

Ni furaha kwa muziki wa Afrika Mashariki kuzidi kuvuka boda na mipaka ya dunia, Hongera Ali Kiba pamoja na wasanii wote wanaofanya kazi nzuri kuutangaza muziki na kazi za Tanzania

Comments are closed.