RODRIGO DUTERTE ASHINDA UCHAGUZI UFILIPINO

RODRIGO DUTERTE ASHINDA UCHAGUZI UFILIPINO

Like
254
0
Tuesday, 10 May 2016
Global News

MEYA wa jimbo aliyeongoza kampeni kali ya urais nchini Ufilipino, Rodrigo “Digong” Duterte ameshinda uchaguzi huo kufuatia kujitoa kwa wapinzani wake.

Licha ya kwamba matokeo rasmi hayajatangazwa, mpinani wake mkuu Mar Roxas amekiri kushindwa baada ya kura zinazohesabiwa kudhihirisha Duterte anaongoza kwa kura nyingi.

Mgombea huyo aliye na umri wa miaka 71 alizusha mzozo wakati wa kampeni kwa matamshi yake makali.

 

Comments are closed.