Roman Abramovich apata uraia Israel

Roman Abramovich apata uraia Israel

Like
478
0
Tuesday, 29 May 2018
Global News

Mmiliki wa klabu ya Chelsea ya England Roman Abramovich, amehamia Mji Mkuu wa Israel Tel Aviv baada ya kupata haki ya uraia nchini humo.

Ambapo hati yake ya Kuishi nchini Uingereza umeisha na waingereza wamegoma kumpatia mwingine.

Abramovich atakua mtu tajiri zaidi nchini Israel kwa sasa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *