RONALDINHO AREJEA BRAZIL KUITUMIKIA FLUMINENSE

RONALDINHO AREJEA BRAZIL KUITUMIKIA FLUMINENSE

Like
213
0
Tuesday, 14 July 2015
Slider

Aliyewahi kuwa mchezaji bora wa dunia kupitia timu ya taifa ya Brazil huyu ni Ronaldinho hatimae amerudi nyumbani  na kuingia mkataba wa kuitumikia timu ya Fluminense huko Rio de Janeiro nchini Brazil.

Picha ya mchezaji huyu akiwa na jezi ya timu hiyo ilipostiwa kwenye mtandao wa Twitter kupitia akaunti ya klabu hiyo mapema mwishoni mwa wiki pindi alipokubali kuungana na Fred aliyewahi kuwa mchezaji mwenzake kutoka Brazil

Baadae Ronaldinho alitweet kuelezea furaha yake kurudi nyumbani na kuitumikia timu hiyo

Comments are closed.