SALVA KIRR AONYWA KUHESHIMU NA KUTEKELEZA MKATABA WA AMANI

SALVA KIRR AONYWA KUHESHIMU NA KUTEKELEZA MKATABA WA AMANI

Like
285
0
Thursday, 27 August 2015
Global News

MAREKANI imemuonya rais wa Sudan Kusini Salva Kirr, kuheshimu na kutekeleza mkataba wa amani aliousaini jana mjini Juba.

Rais Kirr, alikuwa amekataa kusaini mkataba huo wiki iliyopita mjini Adis Ababa Ethiopia.

Lakini, licha ya kusaini mkataba huo, ameelezea wasi wasi wake kuhusiana na masuala kadhaa ya mkataba huo, hasa kugawana madaraka na waasi.

 

Comments are closed.