SAMATTA NA ULIMWENGU WANG’AA STARS

SAMATTA NA ULIMWENGU WANG’AA STARS

Like
284
0
Thursday, 08 October 2015
Slider

Chini ya mwalimu mzawa Charles Boniface Mkwasa, kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kimeendelea kuonyesha mabadiliko ya hali ya juu kufuatia mchezo wao dhidi ya timu ya taifa ya Malawi.

Stars imefanikiwa kuitandika Malawi 2-0 katika uwanja wa taifa jijini Daresalaam katika mchezo wa kuwania kucheza Kombe la Dunia .

Magoli ya stars yalitiwa nyavuni na Mbwana Samatta  pamoja na Thomas Ulimwengu katika kipindi cha kwanza magoli yaliyodumu hadi mwisho wa mchezo

Comments are closed.