SAMIA SULUHU AAHIDI KUSIMAMIA RASILIMALI ZA TAIFA IWAPO CCM ITAPEWA RIDHAA

SAMIA SULUHU AAHIDI KUSIMAMIA RASILIMALI ZA TAIFA IWAPO CCM ITAPEWA RIDHAA

Like
180
0
Tuesday, 15 September 2015
Local News

MGOMBEA mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi-CCM-Samia Suluhu Hassan amesema kuwa endapo wananchi watakipa ridhaa chama hicho kuwaongoza kwa awamu nyingine atahakikisha anasimamia vyema rasilimali za Taifa.

Samia ameyasema hayo wilayani Mkuranga, Kimanzichana wakati akizungumza na wananchi ikiwa ni moja ya ziara zake za kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Aidha Samia amewahakikishia watanzania kuwa serikali ya awamu ya tano ya –CCM- itaweka mikakati madhubuti ya kupambana na tatizo la rushwa kwa viongozi wasio waaminifu.

Comments are closed.