SAUD ARABIA YAANZA OPERESHENI ZA KIJESHI NCHINI YEMEN

SAUD ARABIA YAANZA OPERESHENI ZA KIJESHI NCHINI YEMEN

Like
232
0
Thursday, 26 March 2015
Global News

SAUD ARABIA imeanza operesheni zake za kijeshi nchini Yemen, ikiwa ni kujibu ombi la Rais wa nchi hiyo ABD RABBUH MANSOUR HADI.

Balozi wa Saudi Arabia Nchini Marekani amesema kuwa, taifa lake na washirika wao wa ghuba wanatumia mashambulizi ya angani katika harakati za kuunga mkono serikali halali ya Yemen, ili isichukuliwe na kundi wa waasi la Houthi.

Awali duru zasema kuwa wapiganaji wa Houthi walikuwa wakikaribia kuutwa mji wa Aden, ulioko kusini mwa Nchi hiyo.

 

 

Comments are closed.