SEE YO AGAIN YA WIZ KHALIFA NA CHARLIE PUTH YAFIKISHA WATAZAMAJI BILIONI MOJA

SEE YO AGAIN YA WIZ KHALIFA NA CHARLIE PUTH YAFIKISHA WATAZAMAJI BILIONI MOJA

Like
508
0
Thursday, 08 October 2015
Entertanment

Video ya wimbo wa Wiz Khalifa na Charile Puth “SEE YOU AGAIN” yafikisha watazamaji zaidi ya bilioni moja.

Video hii si ya kwanza miongoni mwa video za muziki kufika kwenye kelele cha kuwa na watazamaji wengi ila muda uliotumika kufikisha kiwango cha idadi hiyo ni mchache zaidi ikilinganiswa na video nyingine.

Puth alitweet kwenye akaunti yake ya twitter akitoa taarifa kuwa track hiyo ambayo ni Official soundtrack ya Fast and furious 7 imeingia rasmi kwenye top ten ya music video zilizotazamwa zaidi duniani, huku Gangnam style ya Psy ikishika namba moja kwa kuwa na zaidi ya watazamaji bilioni mbili, lakini pia Tylor Swift na Katy Perry wakiwemo kwenye orodha hiyo

Comments are closed.