SEKTA YA MIFUGO HAICHANGII UCHUMI WA NCHI

SEKTA YA MIFUGO HAICHANGII UCHUMI WA NCHI

Like
266
0
Wednesday, 24 February 2016
Local News

IMEELEZWA kuwa sekta ya mifugo  nchini haichangii uchumi wa  nchi kama ilivyotarajiwa na serikali.

 

Akizungumza katika mkutano wa kwanza wa maaandalizi   ya  mpango mkakati wa sekta ya mifugo, Naibu Waziri wa kilimo mifugo na uvuvi Mheshimiwa  WILLIAM  OLE NASHA, amesema kutokana  na hali hiyo Serikali inakusudia kuandaa mkakati ambao utainua sekta hiyo  nakuweza kuchangia uchumi wa nchi  na wananchi na wananchi kwa ujumla.

 

Amesema kuwa pamoja na Tanzania kuwa nchi ya tatu Afrika kwakuwa na mifugo mingi ,lakini bado sekta hiyo  haijachangia katika maendeleo ya Taifa.

Comments are closed.