SENEGAL YAPIGA MARUFUKU USAMBAZAJI WA GAZETI LA CHARLIE HEBDO

SENEGAL YAPIGA MARUFUKU USAMBAZAJI WA GAZETI LA CHARLIE HEBDO

Like
261
0
Thursday, 15 January 2015
Global News

GAZETI MOJA nchini Kenya, la The Star limeomba radhi kwa kuchapisha ukurasa wa kwanza wa jarida la Charlie Hebdo uliokuwa na kibonzo kinachomkejeli Mtume MUHAMMAD S.A W.

Wahariri wa gazeti hilo wamesema kuwa wanaomba radhi ikiwa wamekera mtu yoyote kwa kuchapisha ukurasa huo.

Taarifa zaidi zimebainisha kuwa Malalamiko kutoka kwa viongozi wa Kiisilamu yamepelekea Wahariri wa gazeti hilo kuomba radhi, pia nchini Senegal imepiga marufuku usambazaji wa jarida hilo nchini humo.

Comments are closed.