SERIAKALI YAOMBWA KUCHUKUA HATUA KALI KWA WAZAZI MARA DHIDI YA UKEKETAJI WA WATOTO

SERIAKALI YAOMBWA KUCHUKUA HATUA KALI KWA WAZAZI MARA DHIDI YA UKEKETAJI WA WATOTO

Like
330
0
Thursday, 10 December 2015
Local News

SERIKALI Mkoani Mara imeombwa Kuingilia kati nakuwachukulia  hatua kali baadhi ya wazazi wanaopeleka watoto wa kike kukeketwa hususani katika kipindi hiki cha Tohara ambapo baadhi ya koo za kikurya tayari zimeanza Tohara suala ambalo linapelekea wanafunzi kuacha masomo.

Hayo yamebainishwa na Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Kubitelele Robert Werema baada ya EFM RADIO, kutembelea shule hiyo ambayo inajumla ya wanafunzi 461, huku baadhi wakidawa kuwa wamepelekwa kwenye Tohara na sherehe za tohara.

Comments are closed.