SERIKALI IJAYO KUENDELEZA USHIRIKIANO NA UDUGU NA NAMIBIA

SERIKALI IJAYO KUENDELEZA USHIRIKIANO NA UDUGU NA NAMIBIA

Like
235
0
Monday, 12 October 2015
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema ushirikiano na udugu baina ya Tanzania na Namibia utaendelea kuwepo hata kwa Serikali ya Awamu ya Tano itakayokuwepo madarakani.

Rais Kikwete aliyasema hayo jana Ikulu jijini Dar es Salaam wakati akimkaribisha Rais wa Namibia Dokta Hage Geingob kwenye mkutano wa pamoja na waandishi wa habari.

Kwa upande wake Rais wa Namibia amesema kuwa amefurahishwa na hali ya Amani iliyopo nchini hususani kwa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa Okoba 25 kwa ajili ya kuchagua Rais,Wabunge na Madiwani.
IMG_1692

Rais wa Namibia Dokta Hage Geingob akilakiwa na Rais Kikwete

 

 

 

 

_MG_4260

Comments are closed.