SERIKALI IMEOMBWA KUBORESHA UPATIKANAJI WA HUDUMA YA AFYA KWA WATU WENYE ULEMAVU

SERIKALI IMEOMBWA KUBORESHA UPATIKANAJI WA HUDUMA YA AFYA KWA WATU WENYE ULEMAVU

Like
299
0
Wednesday, 16 March 2016
Local News

SERIKALI imeombwa kuboresha upatikanaji wa huduma ya afya kwa watu wenye ulemavu na mahitaji maalum kwenye hospitali zake.

Rai hiyo nimetolewa jijini Dares salaam na Katibu Mkuu wa chama cha watu wenye ulemavu wa ngozi –Albinisim, bwana Gaston Mcheka alipokuwa akizungumza na kituo hiki kuhusiana na changamoto wanazokutana nazo wanapokwenda kupata huduma hizo.

Mcheka amesema, kumekuwa na unyanyapaa mkubwa kwa watendaji wa hospitali hizo na kuonekana kutokuwa na thamani ya kuhudumiwa kwa haraka suala linalowafanya wajione tofauti.

Comments are closed.