SERIKALI IMEOMBWA KUKOMESHA UBABE NA UKEKETAJI DHIDI YA MABINTI WA KIKURIA

SERIKALI IMEOMBWA KUKOMESHA UBABE NA UKEKETAJI DHIDI YA MABINTI WA KIKURIA

Like
298
0
Wednesday, 07 January 2015
Local News

SERIKALI imeombwa kuhakikisha inakomesha ubabe unaotumika kukeketa mabinti wa koo za Kikuria nchini.

Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Kituo cha kupambana na Ukeketaji cha Masanga, Tarime Sista GERMAINE BAIBIKA wakati akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kukamilika kwa Sherehe ya Mahafali ya Sita ya Mabinti waliokwepeshwa Msimu wa Ukeketaji.

 

Comments are closed.