SERIKALI KUPITIA WIZARA YA AFYA YAWEKA MIKAKATI YA KUPAMBANA NA EBOLA

SERIKALI KUPITIA WIZARA YA AFYA YAWEKA MIKAKATI YA KUPAMBANA NA EBOLA

Like
283
0
Friday, 17 October 2014
Local News

WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imewataka viongozi wa ngazi zote nchini kuanzia ngazi ya jamii hadi mkoa kuwaelimisha ipasavyo wananchi kushiriki kikamilifu katika kampeni ya utoaji chanjo ya kutibu magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo Surua na Rubella.

Wito huo umetolewa na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara Dokta DONAN MMBANDO…

Mbali na hayo pia Dokta MMBANDO amebainisha mikakati mbalimbali inayoandaliwa na serikali katika kujiweka sawa kupambana na ugonjwa hatari wa Ebola.

Comments are closed.