SERIKALI KUPOKEA AJIRA KWA NJIA YA MTANDAO

SERIKALI KUPOKEA AJIRA KWA NJIA YA MTANDAO

1
597
0
Thursday, 27 August 2015
Local News

SERIKALI kupitia Sekretarieti ya ajira  utumishi wa umma imeanza kutumia mfumo wa kupokea maombi ya kazi kupitia njia ya mtandao unaotambulika kwa jina la POTO ili kuwapa urahisi waombaji wa kazi katika nafasi mbalimbali.

Akizungumza na EFM Jijini Dar es Salaam Afisa habari wa sekretarieti ya ajira kwa utumishi wa umma Kassim Nyaki amesema mfumo huo wa kimtandao ndio njia rahisi ambayo inatumika kutoa matangazo ya nafasi za kazi nchini.

Comments are closed.