SERIKALI YAAHIDI KUBORESHA MASLAHI YA WATUMISHI WA MAHAKAMA

SERIKALI YAAHIDI KUBORESHA MASLAHI YA WATUMISHI WA MAHAKAMA

Like
393
0
Thursday, 06 August 2015
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa JAKAYA MRISHO KIKWETE amesema kuwa serikali itaendelea kushughulikia ipasavyo suala la uboreshaji wa maslahi kwa watumishi wa mahakama kwa manufaa ya utumishi wao. Rais Kikwete ameyasema hayo leo Jijini Dar es salaam wakati wa hafla ya kuwaaga rasmi viongozi na watumishi mbalimbali wa mahakama nchini Tanzania. Katika hafla hiyo rais Kikwete amesema kuwa kwa kipindi cha miaka kumi aliyokaa madarakani amejitahidi kuboresha shughuli za mahakama kwa kuongeza idadi ya mahakimu.

m5

m2

Comments are closed.