SERIKALI YADHAMIRIA KULIPA DENI LA MAHINDI KUTOKA KWA WAKULIMA NA NFRA

SERIKALI YADHAMIRIA KULIPA DENI LA MAHINDI KUTOKA KWA WAKULIMA NA NFRA

Like
223
0
Tuesday, 03 March 2015
Local News

SERIKALI imesema itajitahidi kuhakikisha inalipa deni lote la Mahindi yaliyonunuliwa kutoka kwa Wakulima na Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula-NFRA ifikapo March 30 mwaka huu.

Akizungumza na Maelfu ya wananchi kwenye mkutano wa hadhara Wilayani Mbozi, Waziri Mkuu Mheshimiwa MIZENGO PINDA amesema Serikali imedhamiria kufuata deni lote.

Ameeleza kuwa tayari alishakwenda nchini Poland kwa maelekezo ya Rais KIKWETE  na wao wameshakuja kuona hali halisi ilivyo.

Comments are closed.