SERIKALI YAINGIA HASARA YA ZAIDI YA BILIONI 8 KUTOKANA NA RISITI BANDIA

SERIKALI YAINGIA HASARA YA ZAIDI YA BILIONI 8 KUTOKANA NA RISITI BANDIA

Like
337
0
Monday, 23 March 2015
Local News

SERIKALI imesema imepata hasara zaidi ya Shilingi Bilioni Nane kutokana na risiti za ununuzi Bandia.

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Fedha ,Mheshimiwa SAADA MKUYA alipozungumza katika Majumuiyo ya Semina kwa Wabunge kuhusu Mfumo wa malipo nchini.

MKUYA ameeleza kuwa kutokana na mfumo wa kutumia malipo hayo mtu huwasilisha risiti za orodha ya malipo mengi ambayo kwa uhalisia hayapo.

Comments are closed.