SERIKALI YAMALIZA RASMI MGOGORO WA ARDHI BAINA YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII NA HALMASHAURI YA WILAYA YA BAGAMOYO

SERIKALI YAMALIZA RASMI MGOGORO WA ARDHI BAINA YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII NA HALMASHAURI YA WILAYA YA BAGAMOYO

Like
311
0
Wednesday, 15 April 2015
Local News

HATIMAYE Serikali imeumaliza rasmi mgogoro wa ardhi uliodumu kwa kipindi kirefu baina ya Wizara ya Maliasili na Utalii na Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo,unaohusisha eneo la hifadhi ya Taifa ya Saadani.

Aidha,Serikali imeiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo,kukaa na Shirika la Hifadhi ya Taifa-TANAPA sanjari na wadau,kurejea mipaka ya zamani ya eneo hilo,ili kuepusha mgongano usio na tija.

Mgogoro huo umeibuka mwaka 2005,baada ya Serikali kuipandisha hadhi Mbuga ya wanyamapori ya Saadani kuwa Hifadhi ya Taifa na kumpa mwekezaji.

Comments are closed.