SERIKALI YAONDOA MUSWADA WA MAHAKAMA YA KADHI

SERIKALI YAONDOA MUSWADA WA MAHAKAMA YA KADHI

Like
249
0
Wednesday, 01 April 2015
Local News

SERIKALI imeondoa Muswada wa Mahakama ya Kadhi uliokuwa uwasilishwe.

Katibu wa Bunge Dokta THOMAS KASHILILLAH,amesema Muswada huo hautakuwa kwenye orodha ya shughuli za Bunge.

Amesema Suala la Mahakama ya Kadhi, lilikuwa lijadiliwe kwenye Muswada wa Mabadiliko ya sheria ndogo, ambao ulikuwa kwenye orodha ya kujadiliwa leo, hivyo nafasi ya Muswada huo itatumika kuendelea kujadili Miswada iliyoanza kujadiliwa.

 

Comments are closed.