SERIKALI YAONYESHA KUSIKITISHWA NA VITENDO VYA UKATILI DHIDI YA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI

SERIKALI YAONYESHA KUSIKITISHWA NA VITENDO VYA UKATILI DHIDI YA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI

Like
285
0
Monday, 30 March 2015
Local News

SERIKALI imeoneshwa kusikitishwa na vitendo vya kikatili vinavyofanywa na baadhi ya watu kwa watu wenye ulemavu wa ngozi  -ALBINO-vinavyojitokeza mara kwa mara katika maeneo mbalimbali nchini.

Hayo yamesemwa leo Bungeni mjini Dodoma na Naibu waziri wa mambo ya ndani mheshimiwa PEREIRA SILIMA ambapo amesema kuwa mbali na jitihada nyingi zinazo chukuliwa na serikali amewaasa wananchi kushirikiana vyema ili kukomesha tatizo hilo nchini.

 

Comments are closed.