SERIKALI YAPIGA MARUFUKU UTENGENEZAJI NA UCHAPISHAJI WA CHRISTIMAS NA MWAKAMPYA

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU UTENGENEZAJI NA UCHAPISHAJI WA CHRISTIMAS NA MWAKAMPYA

Like
168
0
Thursday, 26 November 2015
Local News

KATIBU Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue amepiga marufuku utengenezaji na uchapishaji wa kadi za Christimas na mwaka mpya kwa kutumia gharama za serikali kwa mwaka huu.

\Katika taarifa yake Balozi Sefue ameeleza kuwa yeyote anayetaka kutengeneza au kuchapisha kadi hizo ni vyema akafanya hivyo kwa gharama zake mwenyewe.

Balozi Sefue ameagiza kuwa fedha zilizopangwa kutumika kutengenezea na kuchapisha kadi hizo zitumike kupunguza madeni ambayo wizara, Idara na Taasisi zinazodaiwa na wananchi au wazabuni mbalimbali.

Comments are closed.