SERIKALI YASHAURIWA KUENDELEA KUTOA HUDUMA WAKATI WAKUSUBIRI MATOKEO YA UCHAGUZI

SERIKALI YASHAURIWA KUENDELEA KUTOA HUDUMA WAKATI WAKUSUBIRI MATOKEO YA UCHAGUZI

Like
223
0
Thursday, 29 October 2015
Local News

SERIKALI imeshauriwa kuendelea kutoa huduma kwa wananchi katika wizara mbalimbali hususani kipindi hiki wakati wananchi wanasubiri viongozi wa awamu ya tano kuingia madarakani.

 

Hayo yamesemwa na mkurugenzi wa kampuni ya Usafirishaji ya Dodoma na mmiliki wa shamba la mazao mbalimbali mkoani Manyara Papuu Dharampal wakati alipokuwa akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake.

 

Dharampal ameiomba serikali pia kuangalia suala la wakulima wadogo na wa kati kwa kuwapatia masoko ili waweze kunufaika na kilimo na kwaajili ya maendeleo ya Taifa.

Comments are closed.