SERIKALI YATAKIWA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA SOKO LA BUGURUNI

SERIKALI YATAKIWA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA SOKO LA BUGURUNI

Like
333
0
Monday, 03 November 2014
Local News

WAFANYABIASHARA wa soko la Buguruni wameiomba Serikali kuwasaidia kuwajengea miundombinu ya soko hilo ili kuwasaidia kupunguza hasara ya uharibifu wa biashara zao.

Wakizungumza na Efm leo, wafanyabiashara hao wamesema wamekuwa wakipata hasara kubwa hususani upande wa biashara ya Matunda kwakuwa huoza kutokana na kutokuwepo kwa mifereji ya kupitishia maji kipindi cha msimu wa Mvua.

 

 

Comments are closed.