SERIKALI YAWASHAURI WAFUGAJI NCHINI KUJIENDELEZA

SERIKALI YAWASHAURI WAFUGAJI NCHINI KUJIENDELEZA

Like
258
0
Thursday, 26 February 2015
Local News

SERIKALI imesema inaendelea kuyafanyia kazi mapendekezo ya Tume Maalum iliyoundwa na Bunge kushughulikia mgogoro kati ya Wakulima na wafugaji.

Aidha, imewataka Wafugaji kuacha Mila na Desturi zilizopitwa na wakati za kufuga mifugo mingi pasipokuwa na tija, wakati maisha yao yakiendelea kuwa duni.

Akizungumza Mkoani Mbeya Waziri Mkuu Mheshimiwa MIZENGO PINDA amesema kutoelewa kwa makundi hayo mawili kumesababisha uvunjifu wa amani mara kwa mara.

PINDA2 PINDA22

Comments are closed.