SERIKALI YAWASILISHA MSWADA WA SHERIA YA KUWALINDA WATOA TAARIFA ZA UHALIFU NA MASHAHIDI

SERIKALI YAWASILISHA MSWADA WA SHERIA YA KUWALINDA WATOA TAARIFA ZA UHALIFU NA MASHAHIDI

Like
325
0
Wednesday, 01 July 2015
Local News

SERIKALI imewasilisha mswada wa sheria ya kuwalinda watoa taarifa za uhalifu na mashahidi wa mwaka 2015 unaolenga kuweka utaratibu wa kisheria wa kulinda watoa taarifa za uharifu na mashahidi.

Akiusoma kwa mara ya pili leo Bungeni mjini Dodoma, Waziri wa Katiba na Sheria, Dokta Asha Rose Migiro, amesema lengo hilo litatekelezwa kwa kuimarisha mifumo iliyopo ya upatikanaji wa taarifa za uhalifu.

Comments are closed.