SHAMBULIO LA NDEGE YA MAREKANI LAUA KIONGOZI WA AL SHABAAB

SHAMBULIO LA NDEGE YA MAREKANI LAUA KIONGOZI WA AL SHABAAB

Like
272
0
Tuesday, 08 December 2015
Global News

KONGOZI mmoja wa kundi la Al Shabaab ameuawa katika shambulizi la ndege ya Marekani.

Msemaji wa makao makuu ya ulinzi ya Marekani Peter Cook amesema kifo cha Abdirahman Sandhere ni pigo kubwa kwa usimamizi na uwezo wa mashambulizi ya kundi hilo linalounga mkono wanamgambo wa Al Qaeda.

Al Shabaab inaendesha kampeini ya kuing’oa madarakani serikali inayoungwa mkono na jamii ya kimataifa inayoundwa na zaidi ya majeshi Elfu 22 wa umoja wa Afrika.

 

Comments are closed.