SHAMBULIO LAUA WANNE NA NANE KUJERUHIWA ISRAEL

SHAMBULIO LAUA WANNE NA NANE KUJERUHIWA ISRAEL

Like
316
0
Tuesday, 18 November 2014
Global News

TAKRIBAN waisreli wanne wameuawa na wengine 8 kujeruhiwa katika kile polisi wanasema ni shambulio la kigaidi dhidi ya Sinagogi eneo la magharibi ya Jerusalem.

Kwa mujibu wa Polisi wanaume waliojihami kwa visu na mapanga wanaoshukiwa kuwa Wapalestina ndio waliofanya mashambulizi hayo.

Israel imekuwa katika hali ya tahadhari kuu baada ya mashambulio kadhaa na Wapalestina wakizozana na Waisraeli kuhusiana na eneo takatifu ambalo wamekuwa wakizozania kwa muda mrefu.

 

Comments are closed.