SHEMEJI WA DESIRE LUZINDA AHUKUMIWA KIFO

SHEMEJI WA DESIRE LUZINDA AHUKUMIWA KIFO

Like
374
0
Thursday, 27 November 2014
Entertanment

Kaka wa aliekuwa boyfriend wa desire luzinda Franklin ambae ni raia wa Nigeria amehukumiwa kifo nchini Malaysia baada ya kukutwa na hatia ya kuingiza dawa za kulevya nchini humo

Jamaa huyo mwenye umri wa mika 35 alietambulika kwa jina la Abuchi Ngwoke alihukumiwa kifo siku ya jumanne november 25 na mahakama kuu ya Malaysia baada ya kukamatwa mapema mwaka 2012 katika uwanja wa ndege nchini humo akiwa na kilo 251.66 za methamphetamine, ingawa hukumu hiyo imepita lakini bado siku ya kutekelezwa bado haijatajwa

Tukio hilo limekuja siku chache mara baada ya Desire Luzinda kuhojiwa katika kituo cha polisi huko Naguru kuhusu aliekuwa mpenzi wake Franklin alieripotiwa kufanya udanganyifu kwenye hati ya kusafiria ya nchini Uganda kwa kutumia jina la Frank Mugisha

 

Comments are closed.