SHERIA MPYA YA USALAMA YASITISHWA KWA MUDA KENYA

SHERIA MPYA YA USALAMA YASITISHWA KWA MUDA KENYA

Like
276
0
Friday, 02 January 2015
Global News

Mahakama Kuu nchini Kenya imesimamisha kwa muda matumizi ya baadhi ya vipengee vya Sheria ya usalama yenye utata iliopitishwa na Bunge na kuidhinishwa na Rais UHURU KENYATTA.

Wanasiasa wa upinzani wamewasilisha kesi Mahakamani kupinga uhalali wa Sheria hiyo Kikatiba, huku wakisema inahujumu haki ya raia wa Kenya.

Comments are closed.