SHIRIKISHO LA SOKA NIGERIA LIMETHIBITISHA KUFANYA MAZUNGUMZO NA SUNDAY OLISEH

SHIRIKISHO LA SOKA NIGERIA LIMETHIBITISHA KUFANYA MAZUNGUMZO NA SUNDAY OLISEH

Like
233
0
Thursday, 09 July 2015
Slider

Shirikisho la mpira wa miguu nchini Nigeria limethibitisha kufanya mazungumzo na nohodha wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria (Super Eagles) Sunday Oliseh ili kuweza kumpatia nafasi ya kukinoa kikosi hicho kufuatia kufukuzwa kwa mwalimu wa kikosi hicho Stephen Keshi.

Rais wa shirikisho hilo Amaju Pinnick anatajwa kufanya mazungumzo na Sunday Oliseh huko London kwaajili ya kufanya mazungumzo.

Taarifa hizo za kupewa nafasi nahodha huyo wa zamani ziliripotiwa pia katika tovuti ya shirikisho la mpira wa miguu NFF

Comments are closed.