SHULE YA SEKONDARI KIMANI YAKABILIWA NA CHANGAMOTO YA UHABA WA MAJI SAFI NA SALAMA

SHULE YA SEKONDARI KIMANI YAKABILIWA NA CHANGAMOTO YA UHABA WA MAJI SAFI NA SALAMA

Like
511
0
Monday, 30 November 2015
Local News

SHULE ya sekondari Kimani iliyopo  kisarawe  mkoani Pwani inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo uhaba wa maji safi na salama  kutokana  na kuchangia kunywa maji  na wanyama  katika kisima kilichpo shuleni hapo.

Hayo yamebainishwa na mkuu wa shule  Nazarius Hongoa wakati alipokuwa akizungumza katika mahafali ya tatu  ya kidato cha nne  yaliyofanyika shuleni hapo ambapo amesema kuwa  wapo hatarini kukubwa na maradhi kutokana na maji kutokuwa salama.

Comments are closed.