SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KUADHIMISHWA MOROGORO KITAIFA

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KUADHIMISHWA MOROGORO KITAIFA

Like
451
0
Tuesday, 17 February 2015
Local News

MKOA wa Morogoro umeteuliwa kuwa mwenyeji wa maadhimishi ya siku ya Wanawake Dunia  Kitaifa, siku ambayo huadhimishwa kila ifikapo March 08 kila mwaka.

Siku hiyo huadhimishwa kwa shughuli mbalimbali na kutambua mchango wa Mwanamke katika Maendeleo ya Jamii.

Kampuni ya TRUMARK ya jijini Dar es Salaam imeandaa Warsha maalum katika maadhimisho hayo yenye Kauli mbiu isemayo Wanawake Wanafanikisha.

TRUE MAK

Comments are closed.