SIMBA YAIFUNGUKIA TFF

SIMBA YAIFUNGUKIA TFF

Like
295
0
Wednesday, 27 January 2016
Slider

Simba yatoa msimamo wake juu ya panga pangua ya ratiba ya ligi kuu Tanzania bara msimu huu, Tff yashushiwa lawama kwa mabadiliko ya ratiba baada ya kuiruhusu Azam Fc kwenda kushiriki mashindano ya kualikwa nchini Zambia

Simba ndio bingwa ligi kuu ya kandanda Tanzania bara msimu huu, niulizeni baada ya miezi mine kauli ya MANARA, wewe unasemaje?

Danny Lianga bado ni mchezaji wa Simba na hana matatizo na uongozi

Comments are closed.