SINGAPORE: MAELFU WAJITOKEZA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA LEE KUAN YEW

SINGAPORE: MAELFU WAJITOKEZA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA LEE KUAN YEW

Like
360
0
Wednesday, 25 March 2015
Global News

MAELFU ya watu wamepanga foleni nje ya majengo ya bunge nchini Singapore, ili kutoa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa waziri mkuu wa kwanza wa nchi hiyo Lee Kuan Yew.

Marehemu Lee Kuan Yew aliyefariki siku ya jumatatu akiwa na umri wa miaka 91 atazikwa siku ya jumapili.

Mashirika na kampuni nyingi za kibiashara zimewapa wafanyakazi wao ruhusa ya kwenda kumuaga marehemu Lee kwa heshima na taadhima.

_81884572_026473603-1 _81884297_026473148-1 _81884295_026473121-1 _81883992_d1c570db-8ada-49c2-9241-0bf543b65684 _81883949_81883940

Comments are closed.