SOMALIA KUFUNGUA KESI YA MPAKA KATI YAKE NA KENYA

SOMALIA KUFUNGUA KESI YA MPAKA KATI YAKE NA KENYA

Like
223
0
Monday, 13 July 2015
Global News

SERIKALI ya Somalia leo hii itafungua rasmi kesi dhidi ya kenya katika Mahakama ya kimataifa kufuatia mgogoro wa mpaka baina ya nchi hizo mbili.

Taarifa zaidi kutoka BBC zinaeleza kuwa Somalia inailamu kenya kuwa inamiliki sehemu ya bahari ya nchi hiyo kwa njia isiyo halali ingawa Mgogoro huu umefikia kipindi cha miaka sita sasa.

Somalia inaipeleka Kenya katika mahakama ya kimataifa huko The Hague Uholanzi kwa madai kwamba kenya imekataa usuluhishi nje ya mahakama.

 

Comments are closed.