SOMALIA: SHAMBULIZI LAUA WATU SABA

SOMALIA: SHAMBULIZI LAUA WATU SABA

Like
196
0
Monday, 20 April 2015
Global News

POLISI nchini Somalia wanasema kuwa takriban watu Saba wameuawa kwenye shambulizi lililolenga gari la Umoja wa Mataifa katika eno linalojisimamia la Puntland.

Shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa limesema kuwa wanne kati ya wafanyakazi wake waliuawa wakati mlipuko mkubwa ulipolipua basi kwenye mji ulio kaskazini mashariki wa Garowe.

Shirika hilo linasema kuwa wale waliokufa wanatoka nchi tofauti. Kundi la wanamgamo wa Al shabaab linasema kuwa ndilo lililoendesha shambulizi hilo.

 

Comments are closed.