STEPHEN KESHI AREJEA KUINOA NIGERIA

STEPHEN KESHI AREJEA KUINOA NIGERIA

Like
267
0
Wednesday, 22 April 2015
Slider

Stephen Keshi ateuliwa kuwa kocha wa timu ya taifa ya Nigeria siku ya jumanne kwa mara ya tatu kwa mkataba wa miaka miwili.

Mafanikio yake ya kwanza katika kikosi hicho ni mwaka 2013 aliposhinda kombe la mataifa ya Afrika lakini mkataba wake haukuongezwa tena baada ya kombe la dunia mwaka 2014.

Baadae alirejea katika nafasi yake kuinoa timu hiyo kwa michezo tofauti tofauti ambapo makubaliano yaliishia mwezi November baada ya kulikosa kombe la mataifa ya Afrika

Keshi alisema ni mwanzo mpya pia amewataka mashabiki wa timu hiyo kutoa ushirikiano, kisha wadau kurudi kikosini alisema Keshi wakati akizungumza na BBC

Comments are closed.