SUAREZ AIBEBA BARCELONA

SUAREZ AIBEBA BARCELONA

Like
249
0
Thursday, 17 December 2015
Slider

Luis Suárez awa mchezaji wa kwanza kufunga hat trick katika michuano ya klabu bingwa dunia huko nchini Japan, rekodi hiyo imewekwa na nyota huyu muda mfupi uliopita katika mchezo kati ya Barcelona vs Guangzhou mechi iliyomalizika kwa Barcelona kuibuka na ushindi wa 3-0

Comments are closed.