SUDAN YAINGIA KWENYE UCHAGUZI MKUU LEO

SUDAN YAINGIA KWENYE UCHAGUZI MKUU LEO

Like
287
0
Monday, 13 April 2015
Global News

UCHAGUZI Mkuu nchini Sudan umeanza leo  huku dalili zikionesha kwamba Rais wa sasa wa nchi hiyo OMAR AL BASHIR anatarajiwa kushinda kiti hicho cha Urais.

Taarifa zinasema kuwa Vyama vingi vya upinzani vimesusia uchaguzi huo kutokana na kile kinachodaiwa kuwa ukandamizaji wa kisiasa unaoendeshwa na rais OMAR AL BASHIR.

Hata hivyo inaaminika kuwa Rais BASHIR alifanya kampeni kubwa akihutubia mikutano ya hadhara sehemu tofauti za taifa hilo kubwa na kwamba ndiye kiongozi pekee wa nchi aliyewekewa hati ya kukamatwa na Mahakama ya kimataifa ya ICC.

110110174256_sudan_elex2 100428110115_sudan_election_512

Comments are closed.