SUDANI KUSINI: MAJENERALI 6 WA KIJESHI WAWEKEWA VIKWAZO NA BALAZA LA USALAMA LA UMOJA WA MATAIFA

SUDANI KUSINI: MAJENERALI 6 WA KIJESHI WAWEKEWA VIKWAZO NA BALAZA LA USALAMA LA UMOJA WA MATAIFA

Like
288
0
Thursday, 02 July 2015
Global News

BARAZA la usalama la Umoja wa Mataifa limeamua kuwawekea vikwazo majenerali sita wa kijeshi nchini Sudan Kusini wanaotuhumiwa kuchochea vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vimedumu kwa miezi kumi na nane sasa.

Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Samantha Power amesema uamuzi wa baraza hilo la usalama unadhihirisha kuwa wale wanaohusika na ukiukaji wa haki za binadamu na kuhujumu juhudi za kupatikana amani watakabiliwa na sheria.

Majenerali hao sita waliowekewa vikwazo wamepigwa marufuku kusafiri na mali zao zitazuiwa

Comments are closed.