SUGE KNIGHT NA KATT WILLIAMS WAKAMATWA L.A

SUGE KNIGHT NA KATT WILLIAMS WAKAMATWA L.A

Like
285
0
Thursday, 30 October 2014
Entertanment

bosi wa Death Row Suge Knight  mwaka wake umezidi kuwa mbaya baada ya kupigwa risasi kwenye part ya MVA iliyoandaliwa na Cris Brown kwenye msimu wa kiangazi siku kadhaa nyuma.

Bosi huyo ambae maisha yake kwa muda mrefu yamekuwa yakihusishwa na matukio mbalimbali ikiwemo ya kupigwa risasi hivyo kumpelekea kutumikia vifungo mara kadhaa jela.

Suge Knight na Katt Williams walikamatwa kwa kuhisiwa kuiba kamera ya mpiga picha wa kike .

tukio hilo lilitokea mwezi September nje ya studio ya Beverly Hills kwa mujibu wa maafisa wa polisi huko Loss Angels

Comments are closed.