SUKARI YAIFIKISHA TANZANIA NAFASI YA 8

SUKARI YAIFIKISHA TANZANIA NAFASI YA 8

Like
338
0
Friday, 14 November 2014
Local News

NAIBU Waziri wa Ustawi wa Jamii Dokta STEVEN KEBWE amesema Tanzania ni nchi ya Nane kati ya nchi 10 zinazoongoza kwa kuwa na watu wanaougua sukari Barani Afrika.

Dokta KEBWE ameeleza hayo alipokuwa akitoa tamko kuhusu siku ya Kisukari inayoadhimishwa leo Duniani.

Amebainisha kuwa nchini Maadhimisho hayo yanafanyika yakiwa na Kauli Mbiu isemayo ULAJI UNAOFAA HUANZA NA MLO WA ASUBUHI

Comments are closed.