SUMATRA YAWATAKA MADEREVA NA MAKONDAKTA WA DALADALA KUTOPANDISHA NAULI KIHOLELA

SUMATRA YAWATAKA MADEREVA NA MAKONDAKTA WA DALADALA KUTOPANDISHA NAULI KIHOLELA

Like
243
0
Tuesday, 20 January 2015
Local News

 MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) wamewataka madereva na makondakta  wa daladala kuacha tabia ya kupandisha nauli kiholela wakati wa asubuhi na jioni.

Akizungumza na kituo hiki Mkurugenzi Mkuu wa Sumatra, Michael Kisaka amesema kuwa tabia hiyo imekuwa ikiwasumbua abiria.

Amesema Sumatra imekuwa ikifuatilia na kufanikiwa kuikamata daladala inayofanya safari zake Kimara hadi Kariakoo ikiwatoza  abiria nauli ya Shilingi 800 badala ya shilingi 500 tofauti na iliyopangwa na mamlaka hiyo.

 

Comments are closed.