SUNDERLAND YAMNYAKUA YOUNES KABOUL

SUNDERLAND YAMNYAKUA YOUNES KABOUL

Like
245
0
Friday, 17 July 2015
Slider

Klabu ya soka ya Sunderland  imemsajili mchezaji wa Ufaransa Younes Kaboul kutoka Tottenham, klabu hiyo ya Uingereza ilitoa taarifa hiyo siku ya jumatano.

Akizungumza mara baada ya kutangazwa rasmi kujiunga na klabu hiyo Kaboul amesema amefurahi kujiunga na ametoa shukrani zake kwa uongozi mzima akiwemo mwalimu wa Sunderland kwakufanya maamuzi sahihi ya kumsajili

Comments are closed.