SYRIA: MASHAMBULIZI MAPYA KUCHUNGUZWA

SYRIA: MASHAMBULIZI MAPYA KUCHUNGUZWA

Like
273
0
Tuesday, 01 March 2016
Global News

WAZIRI wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry amesema madai yote ya kuvunja muafaka wa kusitisha mashambulizi nchini Syria yatachunguzwa.

Hata hivyo Kerry amesisitiza kwamba Marekani na Urusi wameafikiana kutojadili madai hayo hadharani.

Ameongeza kuwa pande hizo zimekubaliana kuhakikisha mashambulizi yanalenga ngome za wapiganaji wa Islamic State na Al-Nusra Front pekee.

 

Comments are closed.